Psalms 7:15-16

15 aYeye achimbaye shimo na kulifukua
hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe.
16 bGhasia azianzishazo humrudia mwenyewe,
ukatili wake humrudia kichwani.
Copyright information for SwhNEN